Naomba utofauti kati ya ujenzi wa nyumba ya ghorofa na nyumba ya kawaida

StudentTeacher

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2019
Posts
4,153
Reaction score
4,301
Kwa kifupi natamani kujua ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja una milolongo ipi ambayo ni tofauti na ujenzi wa nyumba ya kawaida. Je,kuna mambo ya kisheria ya kuzingatia?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye ujenzi wa nyumba ya ghorofa kikawaida huwa kuna design mbili zinazofanya kazi kwa pamoja ambapo desîgn ya kwanza hufanywa na architect( msanifu majengo) na design ya pili hufanywa na structural engineer( mhandisi majengo).
 
Back
Top Bottom