Kwa kifupi natamani kujua ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja una milolongo ipi ambayo ni tofauti na ujenzi wa nyumba ya kawaida. Je,kuna mambo ya kisheria ya kuzingatia?
Kwa kifupi natamani kujua ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja una milolongo ipi ambayo ni tofauti na ujenzi wa nyumba ya kawaida. Je,kuna mambo ya kisheria ya kuzingatia?
Kwenye ujenzi wa nyumba ya ghorofa kikawaida huwa kuna design mbili zinazofanya kazi kwa pamoja ambapo desîgn ya kwanza hufanywa na architect( msanifu majengo) na design ya pili hufanywa na structural engineer( mhandisi majengo).