XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,345
- 7,076
Niaje wakuu,
Mimi ni kijana wa miaka 20, elimu yangu ni kidato cha sita .. sasa nimekua interested sana na udereva wa malori, ndio kazi ninayo ipenda kupita maelezo lakini nahitaji uzoefu kutoka kwenu wana JF kuhusu yafuatayo;
1: vigezo vya umri vipoje kabla ya kupewa leseni.
2: inachukua muda gani kwa mtu ambaye hajawahi kuwa na leseni ndo anaanza, mpaka kufikia level ya kuendesha Lori.
Nawasilisha ..