Baba hiyo njia unayopitia Tanzania hutaendesha Lori milele.Niaje wakuu,
Mimi ni kijana wa miaka 20, elimu yangu ni kidato cha sita .. sasa nimekua interested sana na udereva wa malori, ndio kazi ninayo ipenda kupita maelezo lakini nahitaji uzoefu kutoka kwenu wana JF kuhusu yafuatayo;
1: vigezo vya umri vipoje kabla ya kupewa leseni.
2: inachukua muda gani kwa mtu ambaye hajawahi kuwa na leseni ndo anaanza, mpaka kufikia level ya kuendesha Lori.
Nawasilisha ..
Aaah shukrani sana mkuu, acha nitafute connection ..Baba hiyo njia unayopitia Tanzania hutaendesha Lori milele.
Cha kufanya Tafuta gereji ya magari makubwa ujiunge huko kwanza hapo hapo utajuana madereva wa malori watakuchukua kama tingo ...utatokea hapo hapo leseni ukishajua gari kupata sio kitu ya kuumiza kichwa.
Baba hiyo njia unayopitia Tanzania hutaendesha Lori milele.
Cha kufanya Tafuta gereji ya magari makubwa ujiunge huko kwanza hapo hapo utajuana madereva wa malori watakuchukua kama tingo ...utatokea hapo hapo leseni ukishajua gari kupata sio kitu ya kuumiza kichwa.
Angalizo:
Usije ukajidai na kielimu Chako huko watakubania.
Wewe piga kazi gereji uelewe mandinga vizuri Alafu unatafuta mchomo Kwa wale wale madereva unaokutana nao , Waeleze ndoto yako utatoka kirahisi sana
Utingo hiyo kutengeneza gari ndo kazi yakemkuu kwani siwezi nikapata tu connection nikawa utingo mpaka kujua kutengeneza magari ?? ..
Ijue mitaa.. Hakun short cut wew mtot w maskini hupotez mda kijana! Kuna siku wanajf watakutak uwarekebishie magar humuDah Sasa mbona hiyo shughuli tena, mi nilikua nataka kuendesha tu, hayo mambo ya ufundi yana poteza muda ..
Huo ustaarabu unaoutaka ndio utakukwamisha. Ndio maana nimekuambia hako kashule Kako ulikoenda katakuletea kiburi hutafikia malengomkuu kwani siwezi nikapata tu connection nikawa utingo mpaka kujua kutengeneza magari ?? ..
Kumbe unataka uendeshe kesho ...utakaa sanaDah Sasa mbona hiyo shughuli tena, mi nilikua nataka kuendesha tu, hayo mambo ya ufundi yana poteza muda ..
Dah sikujua kama mambo ni mengi hivi, acha nitafute garage mkuu ..Huo ustaarabu unaoutaka ndio utakukwamisha. Ndio maana nimekuambia hako kashule Kako ulikoenda katakuletea kiburi hutafikia malengo
Lory sio mchezo baba isikie Kwa mtu huko road mambo ni mengi
Kuna basic qualifications za tingo angalau azijue
1. Kufungua tairi na kufungua
2. Kunyanyua cabin na kushusha
3. Kukata trailer na kuunganisha
4. Adjustment za brakes
5.kutoa upepo kwenye injector pump ikitokea tatizo mafuta
6. Kujua kumuelekeza Dereva ukiwa kwenye trailer na ukiwa kwenye cabin
7.Ujue kuiandaa gari asubuhi kabla gari haijaanza safari umpe report Dereva wako inawezekana anakuja Akiwa amevaa suti[emoji16]
8. Ujue kupanda gari ikiwa inatembea
Na mengine mengi
Hakuna mtu atakupa gari yake from nowhere.Dah Sasa mbona hiyo shughuli tena, mi nilikua nataka kuendesha tu, hayo mambo ya ufundi yana poteza muda ..
Kuendesha Kwa maana ya kuharisha Sawa. Lakini kuendesha roli ni process hizo ulixopewa na mdau. Au ikiwezekana nenda kasomae D.I.T kabisamkuu kwani siwezi nikapata tu connection nikawa utingo mpaka kujua kutengeneza magari ?? ..
Si zaid ya miez sita.Hapo kwenye kusoma itanichukua miaka mingapi ?? ..
Huo ustaarabu unaoutaka ndio utakukwamisha. Ndio maana nimekuambia hako kashule Kako ulikoenda katakuletea kiburi hutafikia malengo
Lory sio mchezo baba isikie Kwa mtu huko road mambo ni mengi
Kuna basic qualifications za tingo angalau azijue
1. Kufungua tairi na kufunga
2. Kunyanyua cabin na kushusha
3. Kukata trailer na kuunganisha
4. Adjustment za brakes
5.kutoa upepo kwenye injector pump ikitokea tatizo mafuta
6. Kujua kumuelekeza Dereva ukiwa kwenye trailer na ukiwa kwenye cabin
7.Ujue kuiandaa gari asubuhi kabla gari haijaanza safari umpe report Dereva wako inawezekana anakuja Akiwa amevaa suti[emoji16]
8. Ujue kupanda gari ikiwa inatembea
Na mengine mengi