Naomba uzoefu kuhusiana na udereva wa malori

Au uanzie kwenye hii league ya taifa
Your browser is not able to display this video.
 
Mimi nikushauri , uzingatia ushauri wa msingi uliotolewa na wadau hapo.

Utakusaidia
 
We unaanza na niaje wakuu unafikiri kila mmoja hapa ni age mate wako, ?
 
We kazana kutafuta mtu akuweke kushoto, hizo basics utazifahamu mbele ya safari!

Gari za siku hizi hazihitaji uwe fundi makenika ndiyo uziendeshe.

Hata ukitoka NIT bado unahitaji kukaa kushoto upigwe msasa..

TRUCKING NEEDS PASSION!
Kila la kheri mkuu

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Safi sana man nimeipende hii article yako mkui
 
mkuu kwani siwezi nikapata tu connection nikawa utingo mpaka kujua kutengeneza magari ?? ..
Kwa Sasa sio lazima gari nyingii nizakisasa, miaka ya nyuma ilikua utingo lazima upitie gereji sababu ya magari hayakua na uhakika sana wa safari Sasa ivi ni kwendo wa kisauz, muhimu ni wewe kujenga ukaribu na madereva kuzoeana nao ili wawili watatu kupanda Kwenye chuma ni chap
 
Huo ni udereva wa zamani Mzee,kwa Sasa hizi mambo hatuna ndio maana utakuta XT,MP4 ama FH yupo davoo peke Ake in short nimwendo wa Kisauz acha na maisha ya Kwenye 113[emoji2]
 
Unatakiwa kuwa mchawi mkuu, hizi kazi zingine si lelemama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…