Tabia ya washamba na wajinga,ni kukariri na kuwatisha wengine cha muhimu ukiamua kufanya kitu we fanya vile unavyotaka,usiwasikilize wapambeIle Honda Fit yetu ipo bado ina dunda, haina gogoro. Ni service tu. Huwezi nikuta barabarani nimefungua boneti.
Alie sema ni Mimba, Bado haijazaliwa.View attachment 1328654
Sent using Jamii Forums mobile app
Tabia ya washamba na wajinga,ni kukariri na kuwatisha wengine cha muhimu ukiamua kufanya kitu we fanya vile unavyotaka,usiwasikilize wapambe
Yangu nimenunua $1,290 apo ukiweka na bank charges $60. Ko jumla inakua 1,350. Ila ikishafika bandarini nimeambiwa niandae kama 4 mill. Kwa ajiri ya TRA
Bado ninayo na sijutii kuinunua
Spare zake ni bei lakini ni imara. Unahitaji upate fundi mzuri pia.Okey. Mie nataka ninunue kwa mtu. Anauza 4 million TZS. Nilitaka tu feedback yako. Maana bongo kila sehemu Toyotaaa toyotaaaaa.... Nilitaka kuchukua VITZ tatizo shape yake mbayaaaa
Spare zake ni bei lakini ni imara. Unahitaji upate fundi mzuri pia.
Hata TOYOTA Ukitaka spare original zina bei, sema uzuri wa toyota spare feki zipo nyingi ko zinauzwa bei ndogo sio kama magari mengine kama Honda, ndio maana ukikuta spare ambayo haina feki yake utakuta bei ni kama ya honda au Nissan tu. Mfano Taa, Bamper, Tank la mafuta n.k.Daaah. Hapo kwenye bei ndio naogopa kishenzi. Kuna mtu taa moja ya gari yake imepasuka. Anasema bei yake 400,000 mpaka leo kashindwa kununua. Nimesahau gari lakin sio Honda kama hii.
Ndio maana kumbe wengi wanajibanaga tu kwenye vitoyota
Mkuu wangu chukua tu!! Honda ni gari nzuri na relatively ina bei ndogo kulinganisha na counter part zake za Toyota kama Vitz na ist!!!
Mimi nina Honda Fit Aria ya 2005 iko poa sana!!
Nizaidi ya mwaka mzima naitumia sijawahi kupata tatizo la kuifundi lililonihitaji kufunga spare/kifaa kipya!!! Labda kwa vile ni ya matumizi binafsi, kama ni ya biashara hapo sina experience.
Acha stori za vijiweni. Kama ni rahisi na wewe fungua kampuni uwe agent. Usifananishe madalali wa viwanja na ma-agent wa magari.Hao ma agent ndo wapigaji wazuri sana hapo unaweza kuta kashabania laki kadhaa
Poa kiongoziKaka habari. Bado unayo Honda Fit yako ama ulishauza, ama ilishaharibika, ama ushampa mtu (mke/ndugu).
Aisee, kumbe uko serious, unatafuta Honda?? Ukiagiza japan uta enjoy sana. Bei haizidi 8.3 Million. Jitoe ufaham mkuu, pesa makaratasiKaka habari. Bado unayo Honda Fit yako ama ulishauza, ama ilishaharibika, ama ushampa mtu (mke/ndugu).
Mkuu kwema kiongozi? Mkuu Mimi nimeizimia Honda Fit kinyama. Sema vitisho ninavyokutana navyo vinanivunja nguvu. Yahani kama mwezi hivi sasa napambana na roho yangu juu ya kuagiza au kuto kuagiza Honda fit. Kuna ndugu yangu anajua habari za magari nilimuomba ushauri akanikatisha tamaa sana kwamba hiyo gari spear hakuna na ukizipata bei yake ni ni kubwa mno. Naomba ushauri wako maana nimeona hapa miaka imepita toka umeanza kumiliki hii gari. Je, kuna changamoto yoyote unaipitia kwenye hii gari?Aisee, kumbe uko serious, unatafuta Honda?? Ukiagiza japan uta enjoy sana. Bei haizidi 8.3 Million. Jitoe ufaham mkuu, pesa makaratasi
Mkuu kwema kiongozi? Mkuu Mimi nimeizimia Honda Fit kinyama. Sema vitisho ninavyokutana navyo vinanivunja nguvu. Yahani kama mwezi hivi sasa napambana na roho yangu juu ya kuagiza au kuto kuagiza Honda fit. Kuna ndugu yangu anajua habari za magari nilimuomba ushauri akanikatisha tamaa sana kwamba hiyo gari spear hakuna na ukizipata bei yake ni ni kubwa mno. Naomba ushauri wako maana nimeona hapa miaka imepita toka umeanza kumiliki hii gari. Je, kuna changamoto yoyote unaipitia kwenye hii gari?

Mkuu samahani, vip kwa safari ndefu hizo honda fit mf dar to bukoba hazisumbui?Mkuu wangu chukua tu!! Honda ni gari nzuri na relatively ina bei ndogo kulinganisha na counter part zake za Toyota kama Vitz na ist!!!