Wakuu habari,
Mimi ni mmoja wa watu wanaovutiwa sana na kilimo na natamani sana siku moja niwe mkulima wa mfano; ombi langu kwenu kama kuna mtu humu analimia Bariadi mto simiyu namba anipe uzoefu wa upatikanaji wa mashamba ya kando kando ya mto.
Mimi ninapatikana Mwanza. Ninatanguliza shukrani.