Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 407
- 178
Analipia kwa kila Yai na usikubali alete mayai then vifaranga wakitoka ndo aje na pesa. Make kuna wanao leta mayai mabovu unakuta trei nzima kinaanguliwa kifaranga kimoja tu, na hapo ka hajalipoa anainhia mitini.Wafugaji wenzangu leo naomba tupeane uzoefu kuhusu biashara ya utotoleshaji vifaranga vya kuku, utaratibu upoje na bei zake zipoje.
1. Analipia kila yai analoleta au kwa kila kifaranga kitotolewacho.
2. Bei huwa sh ngapi na bei hutolewa kwa kila yai au trei nzima.
Bei ipoje kwa yai sh ngapi au kwa trei sh ngapi.?Analipia kwa kila Yai na usikubali alete mayai then vifaranga wakitoka ndo aje na pesa. Make kuna wanao leta mayai mabovu unakuta trei nzima kinaanguliwa kifaranga kimoja tu, na hapo ka hajalipoa anainhia mitini.
Ni biashara ya lawama sana, lawama ni nyingi mno
Hatujakuelewa ujueAnalipa kwa kila yai tsh 10000 kwa trei ,kutoka au kutokutoka atajua yeye
Atalipia kila trei tsh 10000 ,Hatujakuelewa ujue