Naomba uzoefu wa kufunga mtambo gesi kwenye gari

Naomba uzoefu wa kufunga mtambo gesi kwenye gari

Milioni moja na laki tatu nenda ubungo maziwa pale africanpanorama kuna mafundi hapo hapo na gass unajaziwa yani hiyo bei ni pamoja na ufundi (labda bei iwe imepanda kwa sasa)
Mimi nilifungiwa DIT wao ni 1.8M
 
Bei ya mafuta inazidi kuwa mtihani,naomba mzoefu anisaidie yafuatayo;

1.Gharama za kuweka.

2.Gharama ya gesi kwa kilometer mija.

3.Nguvu ya gari.

4.Mafundi wa kuweka mfumo.

5.Vituo vya kujazia.

Asante

NB: Admin usiunganishe uzi huu,hili suala ni nyeti.
Usijaribu kufunga hii kitu,nimemaliza, tusubiri wakina Tomaso waje na ushuuda
 
Bei ya mafuta inazidi kuwa mtihani,naomba mzoefu anisaidie yafuatayo;

1.Gharama za kuweka.

2.Gharama ya gesi kwa kilometer mija.

3.Nguvu ya gari.

4.Mafundi wa kuweka mfumo.

5.Vituo vya kujazia.

Asante

NB: Admin usiunganishe uzi huu,hili suala ni nyeti.
Kuna offer tunajaza gesi bure mwaka mzima
 
Back
Top Bottom