Naomba uzoefu wa kufunga mtambo gesi kwenye gari

Milioni moja na laki tatu nenda ubungo maziwa pale africanpanorama kuna mafundi hapo hapo na gass unajaziwa yani hiyo bei ni pamoja na ufundi (labda bei iwe imepanda kwa sasa)
Mimi nilifungiwa DIT wao ni 1.8M
 
Usijaribu kufunga hii kitu,nimemaliza, tusubiri wakina Tomaso waje na ushuuda
 
Kuna offer tunajaza gesi bure mwaka mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…