Naomba uzoefu wa mbegu bora za mahindi maeneo ya Morogoro

Kiranja wa jamii

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2023
Posts
441
Reaction score
1,065
Habari wana jukwaa,

Naomba msaada kwa aliyewahi kutumia mbegu za mahindi hizi zinazouzwa madukani na akapata matokoea mazuri kwa ardhi ya Morogoro hasa maeneo ya mashamba ya Ngerengere na Kiegeya (Manispaa)

Pia naomba kufahamu timing ya tarehe nzuri za kupanda zao la mahindi katika maeneo hayo

Asanteni [emoji120]
 
Inategemea na wewe mwenywe
Unataka mahindi kwaajili ya biaahara ya
Kuchoma au kuuza?

Kama ni kuuza unauza Kwa kilo?? Au debe(reja reja)

Kama ni kilo mbegu nzuri ni Tembo (719)
Kwa kua ni nzito.
Gunia Moja inafika Hadi kilo 130-135
Hivyo hummpa mkulima faida.
Mahindi hya ni mazito na ni siku 90 hukoma punje zake ni za watani

Kama utauza rejareja panda Dk
Hukomaa harka siku 60 yanapunje kubwa kubwa sana
Ni mzuri kuuza Kwa debe kwakua hujaaa haraka kwenye debe au sado ...
Ni mepesi mno kulinganisha na Tembo.
 
Dk ni nzuri kwa maeneo yenye mvua chache kuliko tembo heri atumie Aminika

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Habari wana jukwaa,

Naomba msaada kwa aliyewahi kutumia mbegu za mahindi hizi zinazouzwa madukani na akapata matokoea mazuri kwa ardhi ya Morogoro hasa maeneo ya mashamba ya Ngerengere na Kiegeya (Manispaa)

Pia naomba kufahamu timing ya tarehe nzuri za kupanda zao la mahindi katika maeneo hayo

Asanteni [emoji120]
Naomba tenda ya kukulimia kwa trekta shamba lako la kiegea. Je ni kiegea ipi upo wewe A au B?
 
Inategemea na wewe mwenywe
Unataka mahindi kwaajili ya biaahara ya
Kuchoma au kuuza?

Kama ni kuuza unauza Kwa kilo?? Au debe(reja reja)

Kama ni kilo mbegu nzuri ni Tembo (719)
Kwa kua ni nzito.
Gunia Moja inafika Hadi kilo 130-135
Hivyo hummpa mkulima faida.
Mahindi hya ni mazito na ni siku 90 hukoma punje zake ni za watani

Kama utauza rejareja panda Dk
Hukomaa harka siku 60 yanapunje kubwa kubwa sana
Ni mzuri kuuza Kwa debe kwakua hujaaa haraka kwenye debe au sado ...
Ni mepesi mno kulinganisha na Tembo.
Nashukuru Kwa mchango
 
Tembo 719 inakomaa kwa siku 120 sio 90. Hivyo inahitaji muda mrefu ili kukomaa kuliko mbegu za DK.
 
Back
Top Bottom