Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 441
- 1,065
Sifa zake ni zipi? Nikimaanisha ina beba mahindi mangapi, muda, uhimilivu nkDk 777
Dk 9089
Aminika 505.
Karibu boss nikuuzie muda ndo huu
Mahindi mawiliSifa zake ni zipi? Nikimaanisha ina beba mahindi mangapi, muda, uhimilivu nk
Na kwa wastani heka moja inapandwa na kilo ngapi?
Asante kwa ufafanuzi, Hizi sifa ni kwa aina zote ulizotaja hapo juu?Mahindi mawili
Muda siku 75
Heka moja ni 8kg za mbegu
Dk ni nzuri kwa maeneo yenye mvua chache kuliko tembo heri atumie AminikaInategemea na wewe mwenywe
Unataka mahindi kwaajili ya biaahara ya
Kuchoma au kuuza?
Kama ni kuuza unauza Kwa kilo?? Au debe(reja reja)
Kama ni kilo mbegu nzuri ni Tembo (719)
Kwa kua ni nzito.
Gunia Moja inafika Hadi kilo 130-135
Hivyo hummpa mkulima faida.
Mahindi hya ni mazito na ni siku 90 hukoma punje zake ni za watani
Kama utauza rejareja panda Dk
Hukomaa harka siku 60 yanapunje kubwa kubwa sana
Ni mzuri kuuza Kwa debe kwakua hujaaa haraka kwenye debe au sado ...
Ni mepesi mno kulinganisha na Tembo.
Naomba tenda ya kukulimia kwa trekta shamba lako la kiegea. Je ni kiegea ipi upo wewe A au B?Habari wana jukwaa,
Naomba msaada kwa aliyewahi kutumia mbegu za mahindi hizi zinazouzwa madukani na akapata matokoea mazuri kwa ardhi ya Morogoro hasa maeneo ya mashamba ya Ngerengere na Kiegeya (Manispaa)
Pia naomba kufahamu timing ya tarehe nzuri za kupanda zao la mahindi katika maeneo hayo
Asanteni [emoji120]
Limeshalimwa tayari, wiki inayoanza kesho nategemea kupandaNaomba tenda ya kukulimia kwa trekta shamba lako la kiegea. Je ni kiegea ipi upo wewe A au B?
Nashukuru Kwa mchangoInategemea na wewe mwenywe
Unataka mahindi kwaajili ya biaahara ya
Kuchoma au kuuza?
Kama ni kuuza unauza Kwa kilo?? Au debe(reja reja)
Kama ni kilo mbegu nzuri ni Tembo (719)
Kwa kua ni nzito.
Gunia Moja inafika Hadi kilo 130-135
Hivyo hummpa mkulima faida.
Mahindi hya ni mazito na ni siku 90 hukoma punje zake ni za watani
Kama utauza rejareja panda Dk
Hukomaa harka siku 60 yanapunje kubwa kubwa sana
Ni mzuri kuuza Kwa debe kwakua hujaaa haraka kwenye debe au sado ...
Ni mepesi mno kulinganisha na Tembo.
Mahindi yanapandwa mawili huko ?Mahindi mawili
Muda siku 75
Heka moja ni 8kg za mbegu
Kwa maana ingine heka moja ni vifuko 4 vya kilo mbili mbili.Mahindi mawili
Muda siku 75
Heka moja ni 8kg za mbegu
Tembo 719 inakomaa kwa siku 120 sio 90. Hivyo inahitaji muda mrefu ili kukomaa kuliko mbegu za DK.Inategemea na wewe mwenywe
Unataka mahindi kwaajili ya biaahara ya
Kuchoma au kuuza?
Kama ni kuuza unauza Kwa kilo?? Au debe(reja reja)
Kama ni kilo mbegu nzuri ni Tembo (719)
Kwa kua ni nzito.
Gunia Moja inafika Hadi kilo 130-135
Hivyo hummpa mkulima faida.
Mahindi hya ni mazito na ni siku 90 hukoma punje zake ni za watani
Kama utauza rejareja panda Dk
Hukomaa harka siku 60 yanapunje kubwa kubwa sana
Ni mzuri kuuza Kwa debe kwakua hujaaa haraka kwenye debe au sado ...
Ni mepesi mno kulinganisha na Tembo.
Ni kweliTembo 719 inakomaa kwa siku 120 sio 90. Hivyo inahitaji muda mrefu ili kukomaa kuliko mbegu za DK.