Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Nimeifikiria sana hii biashara ila sijui pa kuanzia!
Lengo ni kufuga nyuki na kuuza asali, mwenye uzoefu tafadhali toa mwanga kwenye faida na changamoto za hii biashara!