Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Ukikosa kabisaaaa msaada niambie nikuunganishe na wadau wa BEVACNimeifikiria sana hii biashara ila sijui pa kuanzia!
Lengo ni kufuga nyuki na kuuza asali, mwenye uzoefu tafadhali toa mwanga kwenye faida na changamoto za hii biashara!
Sasa huu si ndio msaada wenyewe mrembo?Ukikosa kabisaaaa msaada niambie nikuunganishe na wadau wa BEVAC
+255759904750Sasa huu si ndio msaada wenyewe mrembo?
Na hawa bevac wapo wapi??Ukikosa kabisaaaa msaada niambie nikuunganishe na wadau wa BEVAC
Link haifunguki madam+255759904750
Huyu yupo iringa anauza asali na kufuga nyuki
Hiili group la watu wa nyuki na bidhaa zake
NB: UKIINGIA usianze kupost maswali ya hivi tulia kwanza na ujifunze au mfate mtu inbox
Safi kaa kaa kwanza kama wiki hivi then anza kuzamia watu inbox kuuliza detailsNimeingia tayari...na nimetulia kama ulivyosema
Naomba unisaidie kwa kuniunganishaa na hawa bevac nimewtafuta sana bila mafanikioUkikosa kabisaaaa msaada niambie nikuunganishe na wadau wa BEVAC