Naomba uzoefu wa usaili Utumishi kwa kada ya kilimo

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Wakuu habari zenu.

Nahitaji kufahamu maswali yanayoulizwa pale Utumishi kada ya kilimo hasa kazi za (TARI) kwa wale waliowahi kufanya Usaili (Written) naomba mnifahamishe hapa
 
Madesa ni mengi mkuu, so nataka specific part according to nature of questions pale utumishi
Hayo mambo sio utumishi ni SEKRETARIETI YA AJIRA.

Written huwa ni pepa kama za darasani okifika Oral hapo unaweza kusaidiwa basics
 
kwa sasa kama huna connection nakushauri tulia tu mtaani na endelea kufanya mishe zako. Nakuhakikishia hutoboi ata kama maswali yatakuwa common kwako.
Nilifanya written interview na maswali yote matano yalikuwa simple upande wangu ila niliangukia pua na tangu siku hiyo nili staff rasmi masuala ya kutafuta ajira serikalini.
wacha graduates wapya waendelee kupambana na nafasi zinazojitokeza.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Ulifanya interview wapi..?
 
Back
Top Bottom