Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Asante mkuuSoma notes zako za chuo na research za vilimo naskiaga ivo
Madesa ni mengi mkuu, so nataka specific part according to nature of questions pale utumishiKama ni written peruzi madesa yako
Hayo mambo sio utumishi ni SEKRETARIETI YA AJIRA.Madesa ni mengi mkuu, so nataka specific part according to nature of questions pale utumishi
kariri ma scientific names za weeds and other plantsWakuu habari zenu.
Nahitaji kufahamu maswali yanayoulizwa pale Utumishi kada ya kilimo hasa kazi za (TARI) kwa wale waliowahi kufanya Usaili (Written) naomba mnifahamishe hapa
Duuuuh, masikhara haya mkuukariri ma scientific names za weeds and other plants
Ulifanya interview wapi..?kwa sasa kama huna connection nakushauri tulia tu mtaani na endelea kufanya mishe zako. Nakuhakikishia hutoboi ata kama maswali yatakuwa common kwako.
Nilifanya written interview na maswali yote matano yalikuwa simple upande wangu ila niliangukia pua na tangu siku hiyo nili staff rasmi masuala ya kutafuta ajira serikalini.
wacha graduates wapya waendelee kupambana na nafasi zinazojitokeza.
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Pdf lishatoka?Wakuu habari zenu.
Nahitaji kufahamu maswali yanayoulizwa pale Utumishi kada ya kilimo hasa kazi za (TARI) kwa wale waliowahi kufanya Usaili (Written) naomba mnifahamishe hapa
Ilikuwa kada gani mkuu ..?
Wildlife,,, sawa mkuu but usikate tamaa Endelea kupambana Mungu ni wetu sote
mwache akate tamaa sisi tupate kazi wanaumuhimu wao hao watu wa dizaini hiiWildlife,,, sawa mkuu but usikate tamaa Endelea kupambana Mungu ni wetu sote
Ndio nimeitwUmeitwa nini mkuu
Umeitwa interview Kilimo..?Ndio nimeitw
Hongera kiongoziNdio nimeitw