Naomba uzoefu wenu kuhusu biashara ya uwakala wa mitungi ya gesi za kuchomelea, acetylene n.k

Naomba uzoefu wenu kuhusu biashara ya uwakala wa mitungi ya gesi za kuchomelea, acetylene n.k

KIRUWENY

Member
Joined
Aug 13, 2021
Posts
36
Reaction score
32
Mimi ni muuza Gesi za majumbani LPG

Nilikuwa napenda kufahamu namna ya kupata Uwakala wa gesi za kuchomelea (nazikuta sana Gereji za magari) na nyinginezo kama zile (yani Acetlyene, oxygen) na mwenendo mzima wa biashara hyo.

Katika kuangalia nimeona kuna kampuni kama tatu yani TOL, SALAMA na KAMAL Gas

Vipi kwa nyie mnaofanya hiyo biashara, mzunguko upo vipi na mengineyo fungukeni
 
Back
Top Bottom