Yaani kwa jinsi ulivyoandika.........
Yaani mi nakushauri tu mfungukie kama ulivyofunguka hapa......
Yanini kujitesa bana. Na akikukuta huna bikira mtajiewambie kabisa aliyekubikiri ili akuone ulivyo mwadilifu.
Waishwa mshiki?
Nashukuru kwa maombi, sasa umri ndio unachangia hayo hapo mkuu. Mmmh wa maisha hapo sidhani sana.
Duh na hicho hapo ndio kinanifanya nashindwa kulala.....khaaaa moyo unapasuka, kufunguka nashindwa. Kisa hayo maswali hapo. Duh
Ha ha ha hakuna cha kukumbushia Fidel, sasa tuanze kuandikiana barua na kupaka marashi au. Hakuna kilichofanyika cha kukumbushia zaidi ya hicho.
Nashukuru kwa maombi, sasa umri ndio unachangia hayo hapo mkuu. Mmmh wa maisha hapo sidhani sana.
Ha ha ha hakuna cha kukumbushia Fidel, sasa tuanze kuandikiana barua na kupaka marashi au. Hakuna kilichofanyika cha kukumbushia zaidi ya hicho.
Mimi ndo huyo mkaka, ondoa wasiwasi.
Mtima si umepasuka paaaaaaaaaaaaa basi mkumbushie ya zamani maana ni dhahabu
Bint!
Naoma kabisa ktk maelelzo yako, huyo ni Roho Mtakavitu na wala si kingine, maana umeenda mbali as if aliishawahi kukutokea.
Subiri muonane, muongee mawili matatu then ndio ufunguke. Wewe hata hujaulizwa tayali ushatoa kufuli?

Mmmh sidhani kama ni wewe.......
bint ana mchecheto utafikiri anaongozwa kwa stimu ya weed