Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Swali zuri. Nadhani hana. Angekuwa nao asingeuliza. Kosa kubwa anataka kufanya. Kuanzisha biashara asiyo na clue yoyote inaendeshwaje na soko lake likoje.Cha kwanza wewe mwenyewe una ujuzi wa mambo ya gereji?
Kwa biashara ya gereji ni vizuri akawa na ujuzi hata kidogo.Swali zuri. Nadhani hana. Angekuwa nao asingeuliza. Kosa kubwa anataka kufanya. Kuanzisha biashara asiyo na clue yoyote inaendeshwaje na soko lake likoje.
Hii biashara inafanyika ila inategemea ataweka location gani?Hongera kwa kutaka kuthubutu! But watu wanapaki magari wewe unataka kuanzisha garage?? [emoji2], Hii ndio inaitwa inversely proportion..