Naomba wachumba jamani Im A townboy ungalimi

Naomba wachumba jamani Im A townboy ungalimi

Njabecom

New Member
Joined
May 23, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Mim naitwa BENJAMIN aka njabe.com wa A town and ungalimi also nina miaka 17 natafuta m room aka mchumba kuanzia miaka 17 kushuka chin atakama wew dad ni mkubw ata yule mdog wako wa secondary ariff au unakaribishwa kuw rafik 0718248790 inapatikana kuanzia 3 ucku.
 
Nenda shule arifu, kujiliwaza nunua album ya Dogo Janja.
 
kakojoe ulale... Sio unakuja kusumbua wakubwa wakupeleke chooni badae
 
Watoto kama hawa wakifeli tunasingizia ccm.

Nenda shule kwanza.
 
Mchumba wa nini mwanangu! Soma kwanza mambo ya wachumba utayakuta tu! Huwa hawatafutwi, wanakuja tu!
 
Jamani jamani jamani!!! Hivi nyie watoto siku hizi mna nini? Huu u-justin bieber utawaponza!
 
utandawazi! hv kweli miaka 17 unajianika bla hata aibu, jamani mwenzenu nimekuwa mwoga hadi nikiwa na 24yrs, take care usiendeshwe na puberty
 
Subiri ukue dogo...
..Una dalili zote za "innocent boy". Soma baba, soma.
 
Mbona simu yako unasema inapatikana kuanzia saa 3 usiku? muda huo watoto wenye umri wako wamelala.
 
hii ni kazi ya ccm inatuharibia watoto

Hapa magamba hawausiki kabisa malezi ya kibongo falaver ndio yanasababisha haya yote utakuta mtoto mdogo unmuonea huruma kukamua sana baadae unapata kashfa kwamba ulikula samaki upande mmoko kumbe habari zenyewe ndio hizi hapa
 
Back
Top Bottom