This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Nmeziona hizo gari sokoni lkn hiyo Audi ni cc3000 ikanitisha.Subaru ni cc 1900.Sasa naomba kujua ni ipi gari bora kati ya hizo ktk:
1.utumiaji wa mafuta
2 perfomance ya injini ktk barabara ya lami na vumbi.
3.uimara na spea.
4.Ni nini tofaut kati ya matoleo ya Audi series ya A na Q.
Mwisho kama mtu ana mfuko mzuri unashauri achukue gari ipi kati ya hizo.