MrIsidori Senior Member Joined Apr 3, 2014 Posts 191 Reaction score 83 Feb 13, 2015 #1 Naomba kujua jinsi bia inavyotengenezwa na kwa nini ladha zinakuwa tofauti, pili gas inayowekwa kwenye bia inapatikana wapi na kama kuna uwezekano wa kuanzisha kiwanda kidogo.
Naomba kujua jinsi bia inavyotengenezwa na kwa nini ladha zinakuwa tofauti, pili gas inayowekwa kwenye bia inapatikana wapi na kama kuna uwezekano wa kuanzisha kiwanda kidogo.