Naomba wazo la biashara la mtaji wa laki saba

Naomba wazo la biashara la mtaji wa laki saba

ngodasteven30

New Member
Joined
Aug 4, 2024
Posts
1
Reaction score
3
Ndugu zangu hapa nilipo na mtaji wa laki saba na nipo Arusha.

Nilikuwa na wazo la kufungua biashara ya internet cafe ila nikiangalia kwa biashara hii mtaji ni mdogo.

Nilikuwa naomba wazo la biashara la mtaji wa laki saba ili niweze kuzungusha hela.
 
Nikopeshe kwa riba
 
Nunua mazao saizi bei iko chini mitaani( kwa wakulima) alafu uuze kwenye vitengo kwa bei nzuri,.
Ila sasa sijajua Arusha yanapatikana mazao gani
 
Hiyo ni mitaji ya kufanya biashara za genge,umachinga,udalali Kama ni mjanja,migahawa.
Ila najua unataka biashara zenye status kwa laki Saba hapo hata Mimi Sina msaada na wewe
 
Biashara ya internet Cafe kwa sasa ni ngumu kutokana na uwepo wa smart phone kazi zilizokuwa zinafanyika internet Cafe zinaweza kufanyika na smart phone labla ufungue stationary ndogo pia unaweza kuuza internet mtaani hapo ulipo kama upo interest nayo
 
Back
Top Bottom