ngodasteven30
New Member
- Aug 4, 2024
- 1
- 3
Nikopeshe kwa ribaNdugu zangu hapa nilipo na mtaji wa laki saba na nipo Arusha.
Nilikuwa na wazo la kufungua biashara ya internet cafe ila nikiangalia kwa biashara hii mtaji ni mdogo.
Nilikuwa naomba wazo la biashara la mtaji wa laki saba ili niweze kuzungusha hela.
🔥Tafuta odds 2 uamke na 1.4 ml
Unauzoefu na iyo biashara mkuuAnza kuuza juice ya miwa
Nyie ndio mlitakiwa kuondolewa huku mbaki fb tu. Mtu anauliza serious unazinguaNikopeshe kwa riba
Nyie ndio mlitakiwa kuondolewa huku mbaki fb tu. Mtu anauliza serious
Hebu fafanua hii, me eneo ninalo la kutosha tuFuga sungura mkuu itakulipa.