Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo Kariakoo Dar nikufaulishie Laptops na phone accessoriesNatanguliza Shukrani.
Una idea na biashara ganiMjini
Uza viatu na urembo kama machinga ila usitembeze tafuta goli....kafrem au kibanda.Mjini
Hii ya tumbaku imekaaje mkuu?Sikushauri biashara ya madini.....
Nakushauri biashara zifuatazo.
1. Biashara ya tumbaku
2. Biashara ya uwakala
3. Biashara ya chakula mama/baba lishe
Kila biashara apo juu ina risks zake....kuwa makini,fanya research kwanza kabla ya kuweka mtaji mezani.
Sina uzoefu nayo mkuu....lakini nakupa home work ifanyie tafti bila shaka uko kuna soko kubwa la tumbakuHii ya tumbaku imekaaje mkuu?
Asante sana mkuu.Sikushauri biashara ya madini.....
Nakushauri biashara zifuatazo.
1. Biashara ya tumbaku
2. Biashara ya uwakala
3. Biashara ya chakula mama/baba lishe
Kila biashara apo juu ina risks zake....kuwa makini,fanya research kwanza kabla ya kuweka mtaji mezani.
Kila la kheri katika biashara best watakayoshauri
Nlikuwa nafikiria nipate location niweke banda la chips, au Mgahawa .Ingekuwa poa lakn napokea ideas za
Hii idea ndyo ya kufanyia kazi hizo zingine achana nazo ila jitahidi sana utafute location nzuri yenye muingiliano wa watu wengiNlikuwa nafikiria nipate location niweke banda la chips, au Mgahawa .Ingekuwa poa lakn napokea ideas zaidi.