ruston8919
Member
- Mar 31, 2012
- 68
- 14
niko chuo kwa sasa iringa, likizo huwa nipo dar mara nyingi na mara kadhaa kilimanjaro. sasa nina kama 1 mil. nataka kufanya biashara yoyote yenye kuendana na mwanachuo kwa maana ya muda, pia nilifikiria kufanya biashara ya nguo ila cjui pa kuanzia, pia nilifikiria kufungua salon, na pia ikishindikana kabisa ninunue hata kakiwanja pembeni ya mji, nawategemea wakubwa.