PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,437
1. Fungua biashara ya duka la nafaka, uza mchele, maharage n.k , frame ukipt maeneo ya sokon au karb na sokon utainjoy.Habari wakuu?
Nimekwama naomba mnisaidie wazo la biashara angalau nisikose 20000 kwa siku...
Vifaa vya pikipiki kama nimeitamani. Je kwa mitaa ipi hiyo biashara inafaa?1.Fungua biashara ya duka la nafaka, uza mchele, maharage n.k , frame ukipt maeneo ya sokon au karb na sokon utainjoy.
2.uza vifaa vya pkpk na bajaj.
Vituo vya boda boda ila unatakiwa uwe na fundi mzur ambae tayari atakuwa na wateja wake kwaiy wataje wake wakitk spare watakuja dukani kwakoVifaa vya pikipiki kama nimeitamani. Je kwa mitaa ipi hiyo biashara inafaa?
Asante boss hujabakiza kituFungua ka min-garage
Utahusika na mambo yafuatayo.
1. Kubadili matairi
2.kuziba pancha kwa viraka au fluid
3. Kubadili oil magari na pikipiki.
4.utauza oil chafu
5.utauza tairi chakavu.
6.utauza speak ndogo za piki piki kwa kuanzia.
7. Utauza oil safi za kupima na zile special.
8. Utajaza upepo(Ina Hela kinoma) utanunua zile tank sidhani zinazidi 1.5m
Unaweza ukaanza rekebisha piki piki mdogo mdogo au ukatafuta fundi upande huo akawa anakula maokoto wakati na wewe unapata ujuzi.
Hii biashara Ina Hela sana ukipata wateja wakakuelewa na jina utapiga pesa daily sidhani kama utakosa hata 30k kwa siku.
Naongea hivi sababu Kuna dogo ndio biashara yake analisha familia mbili kwao.
Na anaifanya 24/7 anashift kabisa sometimes anaenda usiku mchana Kuna mtu kamuajiri au sometimes anaenda asubuhi.
Kikubwa ni consistency.
Kwa huo mtaji unakutosha kabisa
Mabegi ya shule na ya mgongoni kwa bei ya jumla na rejarejaHabari wakuu?
Nimekwama naomba mnisaidie wazo la biashara angalau nisikose 20000 kwa siku..
Mtaji ni milioni 4 isizidi 5
Naomba pia maelekezo ya sehemu gani Arusha hiyo biashara itafaa zaidi.
Nikifanikiwa wazo zuri sitakuacha mikono mitupu.
Asante
Hii biashara ni nzuri sana lakini kwa mtaji wake haitoshi1. Fungua biashara ya duka la nafaka, uza mchele, maharage n.k , frame ukipt maeneo ya sokon au karb na sokon utainjoy.
2. Uza vifaa vya pkpk na bajaj.
unafanya biashara kati ya hizo?1. Fungua biashara ya duka la nafaka, uza mchele, maharage n.k , frame ukipt maeneo ya sokon au karb na sokon utainjoy.
2. Uza vifaa vya pkpk na bajaj.
Sifany hata moj ila na experience na yaduka la nafak, mzee wang nd biashar yakeWe una
unafanya biashara kati ya hizo?