Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo kahama nikuuzie mafuta ya alizet au karanga utakuja kunishukuruWakuu habari..
Nipo Moshi, nina gari aina ya IST natamani kutumia gari hii inizalishie tofauti nakuitumia kupigia misele mjini.
Naombeni wazo ni bidhaa gani naweza kusambaza kwa wateja kwakutumia hii gari nikapata kipato..
Nashukuru mkuu nitalifanyia kazi kujua ni bidhaa gani nitaanza nazo, angalau zikanilipa mafuta na hata hela kidogo ya akiba per day..Mi pia nipo moshi time hii, nunua bidhaa za dukani( mahitaji ya nyumbani za jumla) uuze maduka ya reja reja.
# Sabuni ya kipande kama jamaa, white wash n.k....unawauzia kwa bei ya jumla wao wauze reja reja.Nashukuru mkuu nitalifanyia kazi kujua ni bidhaa gani nitaanza nazo, angalau zikanilipa mafuta na hata hela kidogo ya akiba per day..
Nimekupata mkuu.. nikija kibosho nitakutafta.. kirima au umbwe..?# Sabuni ya kipande kama jamaa, white wash n.k....unawauzia kwa bei ya jumla wao wauze reja reja.
# Uza Vocha za simu za aina zote jumla...
#Uza pipi, na bublish kwa jumla.
# Uza malapa jumla kwa carton..
# Ukiweza uza juice za energy Kwa carton jumla. Yaani IST ishone [emoji28][emoji28][emoji28] angalia usiue shockup mangi....hapo ukikosa faida na pesa ya mafuta kaoge na maji ya mpapai [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiuzie mjini moshi sasa utafeli kiasi. Njoo kibosho kwetu, uru, bonite, yaani nje ya mji kidogo, wala usiende mbali sana na mjini mfano usiende sanya au rombo huko mbali sana.
Haloo haya ni madini tupu nakupa mkuu, ingia field, yaani nimekupa elimu ya bureeeee, no charges.
Kirima mkuu.Nimekupata mkuu.. nikija kibosho nitakutafta.. kirima au umbwe..?