Castle Senior Member Joined Jul 25, 2008 Posts 116 Reaction score 20 Nov 28, 2008 #1 habari za wakati wazee, nahitaji wimbo wa wewe ndio doctor wangu jamani, mwenye wimbo huo naomba anipatie. asanteni
habari za wakati wazee, nahitaji wimbo wa wewe ndio doctor wangu jamani, mwenye wimbo huo naomba anipatie. asanteni
WomanOfSubstance JF-Expert Member Joined May 30, 2008 Posts 5,457 Reaction score 963 Nov 28, 2008 #2 cmayolera said: habari za wakati wazee, nahitaji wimbo wa wewe ndio doctor wangu jamani, mwenye wimbo huo naomba anipatie. asanteni Click to expand... Unaweza kuusikiliza JF under bongo flava.Jaribu
cmayolera said: habari za wakati wazee, nahitaji wimbo wa wewe ndio doctor wangu jamani, mwenye wimbo huo naomba anipatie. asanteni Click to expand... Unaweza kuusikiliza JF under bongo flava.Jaribu
Who Cares? JF-Expert Member Joined Jul 11, 2008 Posts 3,507 Reaction score 3,371 May 7, 2009 #4 Nunua cd original ili uchangie uchumi wa nchi yako...hizi pirated copies ndio zinaua wasanii wetu na kuwanufaisha wadoc kina mamu na mwananchi......ni maoni tu
Nunua cd original ili uchangie uchumi wa nchi yako...hizi pirated copies ndio zinaua wasanii wetu na kuwanufaisha wadoc kina mamu na mwananchi......ni maoni tu