Naomba yeyote anayejua kuhusu Maboga lishe

Naomba yeyote anayejua kuhusu Maboga lishe

TEK

Senior Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
184
Reaction score
35
Naomba yeyote anayejua kuhusu Maboga lishe, kuhusu bei ya mbegu, mahali zinapatikana hizi mbegu na masoko anijuze tafadhali.

Nipo Mbeya
 
Waone seedco, au kwakuwa upo Mbeya nenda maduka ya pembejeo ya hapo Nanenane utapata mbegu
 
Umemaanisha majani ya maboga kama mboga au Yale maboga yenyewe?
Mi mzoefu kwenye mboga
IMG_20190306_180457_8.jpg
 
Nani tufanye nae hii biashara ya maboga? Maana nipo kwenye kiwanda chenyewe
 
Nani tufanye nae hii biashara ya maboga? Maana nipo kwenye kiwanda chenyewe
Unamaanisha inazalisha Maboga Lishe? Au unahitaji supply. Mimi nalima haya Maboga Lishe.
 
Tatizo hii mada imekaa kimtego mtego mada yake na comment zake


Ila matapeli wapo
 
Back
Top Bottom