Naomba yeyote anayejua kuhusu Maboga lishe

TEK

Senior Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
184
Reaction score
35
Naomba yeyote anayejua kuhusu Maboga lishe, kuhusu bei ya mbegu, mahali zinapatikana hizi mbegu na masoko anijuze tafadhali.

Nipo Mbeya
 
Waone seedco, au kwakuwa upo Mbeya nenda maduka ya pembejeo ya hapo Nanenane utapata mbegu
 
Nani tufanye nae hii biashara ya maboga? Maana nipo kwenye kiwanda chenyewe
 
Nani tufanye nae hii biashara ya maboga? Maana nipo kwenye kiwanda chenyewe
Unamaanisha inazalisha Maboga Lishe? Au unahitaji supply. Mimi nalima haya Maboga Lishe.
 
Tatizo hii mada imekaa kimtego mtego mada yake na comment zake


Ila matapeli wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…