mwenye kisu kirefu ndo anakula nyama, nakubali.... na kisu ndo mafweza.... ila unaweza ukawa nayo ukaishia kupigwa changa la macho vile vile... hasa kama wewe ni kijana na channel hazikamati vizuri... mara ngapi tunaona mtu na mafweza yake na ana mke mzuriiiiiiii.......mwisho wa siku wife wake anatembea na house boy? unadhani kwa nn?