Naombatafsiri ya dawa za asili kwa kiingereza

Naombatafsiri ya dawa za asili kwa kiingereza

SOUND HEALTH

Member
Joined
Jul 8, 2014
Posts
82
Reaction score
25
Naomba msaada wa tafsiri ya dawa hizi 1.kusti 2.kamla abiadhi 3.sufa 4.kamla aswed 5.zamda 6.kalkam 7.nazilinji 8.balinji9.habilinji 10sakabanji 11.hazpaz 12hazmal 13.kuzubaza14. bakhalhadi
 
1.kusti - Custy
2.kamla abiadhi - Camla abiath
3.sufa - Suffur
4.kamla aswed - Camla Ass wedd
5.zamda - Zamder
6.kalkam - Calcum
7.nazilinji - Nuzling
8.balinji - Balinge
9.habilinji - Hablinge
10sakabanji - Sacobang
11.hazpaz - Hazpas
12hazmal - Huzmul
13.kuzubaza - Kuss Bassa
14. bakhalhadi - Bacal Hady
 
1.kusti - Custy
2.kamla abiadhi - Camla abiath
3.sufa - Suffur
4.kamla aswed - Camla Ass wedd
5.zamda - Zamder
6.kalkam - Calcum
7.nazilinji - Nuzling
8.balinji - Balinge
9.habilinji - Hablinge
10sakabanji - Sacobang
11.hazpaz - Hazpas
12hazmal - Huzmul
13.kuzubaza - Kuss Bassa
14. bakhalhadi - Bacal Hady

U r not serios!!!!
 
Naomba msaada wa tafsiri ya dawa hizi 1.kusti 2.kamla abiadhi 3.sufa 4.kamla aswed 5.zamda 6.kalkam 7.nazilinji 8.balinji9.habilinji 10sakabanji 11.hazpaz 12hazmal 13.kuzubaza14. bakhalhadi
Mkuu umekosea kuziandika majina ya hizi Dawa (1) Kusti Kwa kiingereza inaitwa (Kuster-i Bahri)

(2) Kamun Abiyadhi kwa kiingereza inatwa jina hili (
Cummin )

(3) Sufa kwa kiingereza inaitwa sijuwi kwa Kiingereza
(cress seeds)

(4)Kamun Aswadi Kwa kiingereza inaitwa (Black cummin seed)

Dawa ya (5) Zamda sijuwi kwa kiingereza.

Dawa ya (6)Kurkum kwa kiingereza inaitwaa
(curcumin/ turmeric)

Dawa ya (7) Halilanji kwa kiingereza inaitwa
(Terminalia chebula)

Dawa ya (8) balinji, Dawa ya

(9)Abalinji na Dawa ya (10) Sakabanji na Dawa ya (11) hazpaz sizijuwi kwa kiingereza.

Dawa ya (12) Harmali kwa kiingereza inatwa (harmala seeds)

na hiyo dawa ya (13) kuzabaz sijuwi ila kuna dawa inaitwa -kwa jina hili Kuzbara kwa kiingereza inaitwa
(Corriander) na

Dawa ya (14)mwisho Bakal-hadi siijuwi kwa kiingereza.
1.kusti - Custy
2.kamla abiadhi - Camla abiath
3.sufa - Suffur
4.kamla aswed - Camla Ass wedd
5.zamda - Zamder
6.kalkam - Calcum
7.nazilinji - Nuzling
8.balinji - Balinge
9.habilinji - Hablinge
10sakabanji - Sacobang
11.hazpaz - Hazpas
12hazmal - Huzmul
13.kuzubaza - Kuss Bassa
14. bakhalhadi - Bacal Hady
Mkuu TANMO kama hujuwi sio bora unyamaze tu kuliko kuharibu Thread ya mtu.

U r not serios!!!!
Watu wengine kazi yao kuharibu Thread za wenzi wao sijuwi kwanini?

attachment.php

Kamun abiyadhi.

attachment.php


Kamun Aswadi

attachment.php

Halilanji

attachment.php

Sufa
 

Attachments

  • Black cummin seed.jpg
    Black cummin seed.jpg
    35.5 KB · Views: 256
  • cummin.jpg
    cummin.jpg
    64.9 KB · Views: 258
  • halilanji.jpg
    halilanji.jpg
    20.1 KB · Views: 290
  • kuzabara.jpg
    kuzabara.jpg
    87.1 KB · Views: 135
  • SUFA.jpg
    SUFA.jpg
    98.8 KB · Views: 308
Nashukuru sana mzizi mkavu,nimekusoma vizuri sana MWENYEZI MUNGU akubariki.na kama katika tafiti zako ukapata hizo zingine nitafarijika sana kusikia kutoka kwako
 
Back
Top Bottom