Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa aina yote.
Sawa dada ila wanawake wengi wanapenda kusifia wanaume wao
hata wa sura mbaya waweza kumpenda na kumsifia kw wenzako?Sijakuelewa, kupenda kusifia kumeingiliana vipi na jibu langu la kupenda wanaume wa aina yote?
duh, tumevamiwa!
hata wa sura mbaya waweza kumpenda na kumsifia kw wenzako?
nakupata mkuuthe uglier u are the money u shuld have...yes money does not buy love but it can get pretty ladies to take note of u
ushalobalo dil hapa town!Hivi unadhani kinachofanya kuwasifu wanaume ni sura? Mwanaume anae uza sura nae ni mwanaume kwani?
Hivi unadhani kinachofanya kuwasifu wanaume ni sura? Mwanaume anae uza sura nae ni mwanaume kwani?
ushalobalo dil hapa town!