Naombe jibu wana Jf

poto

Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
62
Reaction score
3
Je wanawake wanapenda wanaume wa aina gan? pili,mwanaume mwenye sura mbaya anaweza kupendwa na mwanamke mzuri?ukizingtia mshko hna
 
Sawa dada ila wanawake wengi wanapenda kusifia wanaume wao


Sijakuelewa, kupenda kusifia kumeingiliana vipi na jibu langu la wanawake kupenda wanaume wa aina yote?
 
aisee beauty is in the eye of the beholder.... wewe unaweza ukamuona mwanaume flani mbaya kumbe mwingine anamuona mzuri so ukiangalia really hakuna mtu mbaya..
 
the uglier u are the money u shuld have...yes money does not buy love but it can get pretty ladies to take note of u
 
hata wa sura mbaya waweza kumpenda na kumsifia kw wenzako?


Hivi unadhani kinachofanya kuwasifu wanaume ni sura? Mwanaume anae uza sura nae ni mwanaume kwani?
 
Hivi unadhani kinachofanya kuwasifu wanaume ni sura? Mwanaume anae uza sura nae ni mwanaume kwani?

mi sijui tutaongea mpaka lini haya mambo.....kwa nini hawaelewi lakini......?
 
mi sijui tutaongea mpaka lini haya mambo.....kwa nini hawaelewi lakini......?

Preta naona sio kosa lao, tunapo kua tunaongea wengine

wanakua bado watoto, wakipevuka kidogo wanauliza tena.
 
Last edited by a moderator:
Mwana mkee ata msifia men kwa wanzake kuwa kama anafikishwa kileleni vzur kwa bed na pia mapenz bna huwa haya chagui ndo maana inatokea mtu ana fall in love na albino au yeyote yule ambaye unaona ni mbaya mapenz upofu bna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…