Nyamsusa JB
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 567
- 1,564
Kutoka na Hali mbaya ya Timu yetu sisi Watanzania katika Msimamo wa Ligi Kuu Uingeleza basi ninaombea sana Ligi hiyo Ifutwe ili kuinusuru Timu yetu sisi Watanzania tukiwakilishwa na Mwanetu Samatha Mbwana Timu ya Aston Villa.
Kwani Timu hii ikishuka Daraja watanzania tutakosa uwakilishi kimichezo katika ngazi za kimataifa. Tuna Mtu mmoja tu kama wa Dawa vile ambae ndio angarau anatutoa kimasomaso na kutulitambulisha Taifa letu ktk Tasinia ya Michezo.
Mungu ibariki Aston Villa, Mungu mbariki Samatha na Mungu Futisha EPL Msimu huu. "Amen"