Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Suzy Elias mimi nakuelewa... hizi kolo zikishinda huwa hazina lugha ya kizalendo kwa yeyote na hasa wana Yanga.Siipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.
Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.
Mungu ibariki Orlando!
Subiri mtasuguliwa tu . Haraka ya nini?Siipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.
Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.
Mungu ibariki Orlando!
Dua la kuku halimpati mwewe Ila ujue na naimani ulianza kuomba hivyo tangu mwanzo wa michuano hii ambayo yanga alichezea home and away na river unitedSiipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.
Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.
Mungu ibariki Orlando!
Mechi itaisha kwa matokeo hayaSiipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.
Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.
Mungu ibariki Orlando!
Kwani Uto huwa mna lugha ya kizalendo Simba akifungwa?Suzy Elias mimi nakuelewa... hizi kolo zikishinda huwa hazina lugha ya kizalendo kwa yeyote na hasa wana Yanga.
watoke kabisaSiipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.
Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.
Mungu ibariki Orlando!
π π π π daahKwanini usiombe Mungu akupe bwana wa kukusukumia moto?