Naombeeni msaada

Naombeeni msaada

Vito Corleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
2,418
Reaction score
5,257
Ni masaa machache tu toka nifahamu kuwa Ihefu imenichania mkeka kinyama na kiroho mbaya ila nashangaa sisikitiki Nina furaha isiyoelezeka na pia najiona Sina haja na Hela,je ni zile za sitaki mbivu hizi au nakuwa mwehu wakuu,pliz wataalamu mnisaidie.
 
Mwamba unadharau sana.Tena kwa watu usowajua
 
Back
Top Bottom