Naombeeni msaada

Naombeeni msaada

Daichii

Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
91
Reaction score
24
Nimekuwa mwanafamilia wa jf kwa mda wa 2months bt nashndwa kushare mawazo yangu.naomba mnipe direction jamaniii...
 
Karibu, chagua jukwaa unalopenda kuchangia ama kama unataka kuanzisha mada. Kila jukwaa pale juu kuna sehemu imeandikwa New Topic hapohapo ndio.unaanzisha mada.
 
Karibu, chagua jukwaa unalopenda kuchangia ama kama unataka kuanzisha mada. Kila jukwaa pale juu kuna sehemu imeandikwa New Topic hapohapo ndio.unaanzisha mada.

Fuata maelekezo ya bantu lady utafanikiwa kwani tukiongeza tutakuwa tunakupotosha
 
Back
Top Bottom