Naomben kujua......

ndesangao

Senior Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
110
Reaction score
28
Naombeni mnijuze kuhusu hili..Kila napojarabu kupost thread inakataa kwa kutumiwa mesej kutoka jf..Je?kuna hatua nyingine za kufanya baada ya utambulisho?au nin cha kufanya.Naomben msaada wenu wazoefu wa jf.
 
karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…