Naomben mawazo yenu

bongenyo

Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
50
Reaction score
31
Habar wana jf,mm ni mwanamke

Shda yang n kwamba naitaj kujua kama kuna uwezekano wa kushka mimba na wakat napima kwa kile kipimo lakn majbu ni negative,

Kinacho nichanganya ni kwamba miez ya nyuma nimepata siku zang kama kawa lakn mwez wa saba cjaona cku zang mpaka sasa na jana nimepima cna mimba ,je kipimo kinaweza kuwa tofaut?

Na njia ninayotumia ni asili ,kuna mbegu zipo kama za papai ndo nili2mia ila kuna mwingne ali2mia njia hii cha ajabu anamimba,

Tafadhal nahtaj mawazo yenu.

Asanteni.
 
Ngoja watalaamu wa mambo hayo waje, hakika utapata ufumbuzi. Maana hata hiyo hali ilishawahi nitokea lakini iliduma kwa miezi 2 mwezi wa 3 nikaendelea kupata siku kama kawaida.
 
Ngoja watalaamu wa mambo hayo waje, hakika utapata ufumbuzi. Maana hata hiyo hali ilishawahi nitokea lakini iliduma kwa miezi 2 mwezi wa 3 nikaendelea kupata siku kama kawaida.
asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…