Naomben mbinu ya kumtongoza mtoto mkali cheupe kishenz, ana hela kishenz na nimezoeana naye kishenzi

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wakuu na iwe juu yenu

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu

Aisee kuna mtoto mmoja ni mkali sana wakuu Mimi nimetokea kumwelewa ile mbaya na nimezoeana naye ile mbaya shida inakuja namna ya kumuanza kumtongoza

Namba yake ya cm ninayo na huwa nachat naye kwa SMS na what's up, shida inakuja kila nikataka kumchana michano nafsi inakataa kabisa yaan nakuwa domo zege kishenz

Sasa wadau nimekuja kwenu nipen mbinu bas nimuingie kwa gia gan ili mtoto anielewe?

Nawasilisha..

LONDON BOY
NANYUPU
 
achana nae
 
Beira Boy! utafundishwa na visivyo lika, anyway kama nafsi inasta achana nae. Utajidhalilisha maana atakutema mwishoe utaona aibu ku-link nae
 
Huo kweli mtihani maana huko kuzoeana ndio jau
 
watoto wa siku hizi bwana, mnaleta huku mambo ya fesibuku?
 
Back
Top Bottom