Aman iwe nanyi wakuu na iwe juu yenu
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Aisee kuna mtoto mmoja ni mkali sana wakuu Mimi nimetokea kumwelewa ile mbaya na nimezoeana naye ile mbaya shida inakuja namna ya kumuanza kumtongoza
Namba yake ya cm ninayo na huwa nachat naye kwa SMS na what's up, shida inakuja kila nikataka kumchana michano nafsi inakataa kabisa yaan nakuwa domo zege kishenz
Sasa wadau nimekuja kwenu nipen mbinu bas nimuingie kwa gia gan ili mtoto anielewe?
Nawasilisha..
LONDON BOY
NANYUPU