Naomben mnikarbshe wadau

AKILImuchknow

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
213
Reaction score
14
Mm ndo kwnz leo naingia humu kila ki2 naon kngn.Naomben mnifahmsh n jukwaa gn leny mvuto kulik yt?
 
Karibu mkuu Kinyesi Cha Ng'ombe!!
Majukwaa yote yana mvuto kutegemea na mtu mwenyewe.
Jisikie nyumbani.
 
Mm ndo kwnz leo naingia humu kila ki2 naon kngn.Naomben mnifahmsh n jukwaa gn leny mvuto kulik yt?

Jisikie upo chumbani kabisa mkuu.... Majukwaa yote yanamvuto ni wewe tu kuchagua upite wapi utokee wapi: Nahii criss ya nishati hapa bongo mkuu Kinyesi cha Ng'ombe wanajavi wanakusaka vibaya namna ulivyo bonge la dili
 
Last edited by a moderator:
Duh hili jina Kinyesi cha Ng'ombe
Umetisha bana

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kinyesi cha Ng'ombe

tedo anakukaribisha sanaa...

Ebwana dah!.nimeamin kua nyny n magreat thnkers wa ukwee kwanz mpo smart sn na mnenionysha upendo na ukarim w hali y juu sn.Ss nimeamin kua nipo sehem sahih ktk wkt sahih.Nashukur sn wadau kw mpigo pa1 sn!
 
Last edited by a moderator:
Karibu jamvini Kinyesi. Ha ha ha.
 
Hapana mkuu!Thread ile niliianzisha kiutani,ila baadaye mods wakaifunga.
Atakuwa kaharibu sehemu huyu.
Sijui kafanya nini huyu Kinyesi cha Ng'ombe!!
Au ndio ile thread yako jana ya kukampeni ban yake ndio imefanikiwa?
 
Karibu sana,huu ndo mtaa wa saba...hakuna ndoto za ajabu.Matusi,uongo na dharau ni maadui wakubwa wa mtaa huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…