T tumain ernest Member Joined Feb 24, 2011 Posts 26 Reaction score 8 Mar 7, 2011 #1 Jamani naombeni mnisaidie swali langu ni kwamba ; hivi combination ya HKL ina jihusisha na maswala gani? iwapo ukifika chuo kikuu? naombeni msaada wenu
Jamani naombeni mnisaidie swali langu ni kwamba ; hivi combination ya HKL ina jihusisha na maswala gani? iwapo ukifika chuo kikuu? naombeni msaada wenu
Ndumbayeye JF-Expert Member Joined Jan 31, 2009 Posts 7,413 Reaction score 4,020 Mar 7, 2011 #2 we darasa la ngapi? sheria , uandishi wa habari, ualimu,na kadha wa kadha