Naomben mnisaidie tatizo langu nateseka

naisweet

Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
47
Reaction score
9
Habari zenu jaman natumai wazima na afya nzur naomben mnisaidie tatzo langu linanisumbua hii ni wiki ya pili sasa mm silali usiku wala mchana na nakua ninabusingiz sana kias ambacho naumwa na kichwa sana na macho kuniuma na saut kubadilika lkn silal kabisa nahis kma nataka kupagawa kupiga makelele nahis kma nakufa nkifumba tu macho inanijia kma kushtuka hv sura imenibadilika sasa hv nimenunua dawa ndio nazila lkn naogopa zisije kuniletea madhara zinaitwa STILNOX zolpidem naomben ushaur mzizi mkavu nsaidie na wengine nataraji kupata majibu yenu ahsanten
 
Relax halafu nenda hosp kaonane na dr wa psych atakusaidia.
Otherwise nenda kaombewe kwa jina la yesu utapona
 
Kaka ama dada siuende hospital,ugonjwa unapouweka nyumbani ndio unzidi kuukuza,pole sana!
 
jaribu kufanya mazoezi kama hupo tu nyumban,otherwise unahtaji psychotherapy kama unasumbuliwa na mawazo
 
Nenda kwenye maombi wahi haraka sana. Mi nina ndugu yangu alipata hiyo hali karibu tungempoteza kumbe roho ya mauti ilikuwa inamfuatilia. Ni pm kwa ushauri zaid! Hospital zipo na nizamuhimu sana ila si kila tatizo linaweza kutatuliwa hospitali!
 
asanten kwa ushaur wenu Mungu akubarikin mm ni mwanamke nina umbri 24 nataka kwenda spital lkn huku nilipo tabu ndio nasubr nirud mana hata lugha hawajui wanaongea french yaan hapa nawaza sitaman uje usiku ukija tu nakosa raha nalia siku nyngne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…