NAOMBEN MSAAADA JUU YA VYUO VYA DIPLOMA VYA KUJAZA KATIKA SELFORM KIDATO CHA NNE

Tracer

New Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
2
Reaction score
1
Samahanin wakubwa.... NINA SWALI MOJA HIVI...
..
...
...
Wakat wa kujaza selform form 4 unapewa na karatas flan hiv linakua limejazwa vyuo mbal mbal vinavyotoa diploma

..
..
Sasa nauliza je, Unaruhusiwa kujaza vyuo vingine tofaut na vile vilivyopo qwenye lile karatas??
..
..

Mfano nikajaza MUHAS,,,KCMC,,,
qwa ajil ya DMLS au DDR .. Qwenye ile selform ya necta

naomben msaada wenu wakuu
 
Kajifunze kwanza kuandika
 
DIT
ATC
MUST
WDMI
.
.
.
Ila kuwa makini na maandishi yako.
Kifupi acha utoto.

SUKAH...
 
Nimekuelewa mkuu,, ntaacha
Nashukuru sana
 
Back
Top Bottom