Mimi mwaka 2011/2012 ckujiunga na masomo kwasababu ckupata mkopo lakin chaajabu na kusitisha mwaka huu niliambia previes loanee kwenda board naambia nadaiwa 2471250/= nauliza naambiwa hela ilitumwa chuon st joseph sasa nifanyeje wakubwa wangu na bila kulipa hiyo mkopo niliyo pewa mwaka hu wanakata