Sir_Mimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 7,171 Reaction score 15,760 Jun 22, 2019 #21 Hahah nimemdharau sana huyu dogo,kuna watu town hapa wanazitafuta nafasi za kuaminiwa wanakosa yeye analeta ujuaji. dingimtoto said: Dogo kibarua chako kimeota nyasi Click to expand...
Hahah nimemdharau sana huyu dogo,kuna watu town hapa wanazitafuta nafasi za kuaminiwa wanakosa yeye analeta ujuaji. dingimtoto said: Dogo kibarua chako kimeota nyasi Click to expand...
Kaab msafi Member Joined Jun 13, 2013 Posts 60 Reaction score 115 Jun 22, 2019 #22 "Bosi wako kasema kuwa wewe ni mwizi" kauli taarifa
M mwayena JF-Expert Member Joined Apr 21, 2016 Posts 3,562 Reaction score 5,165 Jun 22, 2019 #23 Kijana ulijisahau.
Lambo jini Senior Member Joined Aug 28, 2018 Posts 198 Reaction score 235 Jul 12, 2019 #24 Kaab msafi said: "Bosi wako kasema kuwa wewe ni mwizi" kauli taarifa Click to expand... Hahahaaa we jamaa umeamua kumfutia huku
Kaab msafi said: "Bosi wako kasema kuwa wewe ni mwizi" kauli taarifa Click to expand... Hahahaaa we jamaa umeamua kumfutia huku