kindboy
Senior Member
- Dec 11, 2010
- 142
- 28
Nimekuwa katika uhusiano na dada mmoja ambaye tumedumu kwa miaka miwili sasa, tatizo nikwamba hataki kunitambulisha kwa rafiki zake hasa wakiume ambao alikuwa nao vyuoni, na hata anaofanyanao kazi , nikimwambia why anasema not the right time yeye ni dada msomi na anakopato safi, sasa sijui kunanin nyuma ya pazia,